Burudani ya Michezo Live

Mwakyembe “Nawaomba Watanzania wapunguze mahaba kwa Samatta wasije wakamharibia – Video

Mwakyembe "Nawaomba Watanzania wapunguze mahaba kwa Samatta wasije wakamharibia - Video

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo amesema Watanzania hawana budi kuonesha mapenzi yaliyopitiliza kwa Mtanzania Mbwana Samatta ambaye kwa sasa anakipiga ndani ya Aston Villa ili wasimuharibiwe kwenye Klabu yake mpya na mazoea na wachezaji wenzake.

Waziri Mwakyembe ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na EATV, ambapo amesema tabia ya Watanzania kuacha kuandika maoni yao yasyokuwa na tija kwa hatna ya Mbwana Samatta.

Kama unampenda Samatta na umevamia nyumba ya mtu mwingine ishi kama wanavyoishi kama wale, msianze kuleta mambo ya kutukanana, badala yake mnaanza kumgombanisha Samatta na wenzake.’ amesema Waziri Mwakyembe

Niwaombe Watanzania tupunguze mapenzi ya kupitiliza kwa Samatta bali tumuombee‘ ameongeza Waziri Mwakyembe.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW