Tia Kitu. Pata Vituuz!

Mwalimu Kashasha achambua ubingwa wa Mtibwa Sugar dhidi ya Simba SC, maamuzi ya Mo Dewji (+Audio)

Mchambuzi wa soka maarufu nchini, Mwalimu Kashasha amechambua Ubingwa waliyopata klabu ya Mtibwa Sugar dhidi ya Simba SC michuano ya kombe la Mapinduzi huku akugusia maamuzi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Mohammed Dewji kutangaza kujiuzulu kabla ya kuja kurekebisha kauli hiyo asubuhi ya leo.

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW