Aisee DSTV!

Mwalimu wa kisasa aliyewaimbisha wanafunzi ‘Don’t Don’t, Don’t Touch’ afunguka (Audio)

Wiki hii kuna video moja ambayo ilisambaa mtandaoni ikimuonyesha mwalimu, ambaye pia ni Afisa Utamaduni wa Manispaa ya Iringa akiwaimbisha wanafunzi ‘DON’T DON’T, DON’T TOUCH’ kitu ambacho kimewavutia watu wengi kutokana na ubunifu alioutumia.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW