Habari

Mwamvita Makamba ala shavu Afrika Kusini, sasa kufanyia kazi makao makuu

Mtoto wa Mzee Yusuf Makmba na mdogo wa Naiibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia, na vilevile aliyekua Chief officer: Marketing and Corporate Affairs katika kampuni ya Vodacom Tanzania, Mwamvita Makamba amehamishiwa kwenye ofisi ya makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo nchini Afrika Kusini.
Ametoa taarifa hiyo jana kupitia mitandao ya Twitter na Facebook.
Kabla ya safari yake, Mwamvita alimtembelea waziri mkuu mheshimiwa Mizengo Pinda ofisini kwake.
Katika maelezo yake, Mwamvita aliandika:
“On the 1st of September 2012, I will officially start a new wave of my career in Johannesburg South Africa, at Vodacom Group. I have had a great time here at home, learnt a lot and grew tremendously personally and professionally.
Thanks to all of you for the support and encouragement as I went about my daily activities here.
I will continue to keep in touch and keep sharing my various adventures whenever I go and get stories worth sharing with you. Remember, no matter who you are or where you come from, if you dare to dream, the world is truly your centre stage. Love, Mwamvita.”
Bongo5 inamtakia Mwamvita Makamba maisha mema nchini Afrika Kusini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents