Aisee DSTV!

Mwana FA akiri wasanii wa muziki ni wagumu kuhudhuria vikao vya BASATA (Video)

Msanii wa muziki wa hip hip, Mwana FA ambaye pia ni Mjumbe wa Bodi ya BASATA Ijumaa hii amefunguka kwa kudai kwamba wasanii wengi wamekuwa wagumu kuhudhuria vikao mbalimbali vinavyoandaliwa na BASATA kwaajili ya kujadili changamoto kuhusu kazi zao. Amesema hayo leo katika kikao kilichofanyika Basata kwaajili ya kusikiliza changamoto za wasanii

 

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW