Mwana FA alivyomsindikiza Hassan Mwakinyo Ulingoni (+Video)

Msanii wa muziki Mwana FA hapo jana alipata nafasi ya kupanda ulingoni akiwa anamsindikiza Hassan Mwakinyo katika pambano lake la Ubingwa wa WBF dhidi ya Mcongo, Tshibangu. Katika pambano hilo Mwakinyo alifanikiwa kutwaa Mkanda huo kwa ushindi wa pointi.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW