Michezo

Mwana FA: Hisia tu zinaniambia Pacman anadundwa!

Mwana FA anaamini kuwa Floyd Mayweather atamdunda Manny Pacquiao Jumamosi hii.

2825E46C00000578-3061460-image-a-35_1430343008452

FA ambaye ni shabiki damu damu wa ‘The Money Team’ amesema uwezekano wa rekodi ya kutoshindwa ya Mayweather kuvunja upo, lakini haitokuwa hivyo.

“Kupigwa inaweza kuwa, ni sehemu ya mchezo,” FA ameiambia Bongo5.

“But sio hata kiufundi, hisia tu zinaniambia Pacman anakalishwa. My money on Floyd, 48-0,” amesisitiza.

Kwa upande wa kauli ya kocha wa Pacquiao kuwa ana wasiwasi Mayweather anaweza asitokee kwenye pambano hilo, FA amesema: Nahisi ipo tu kwenye kupandishai munkari wa watazamaji wa mchezo. I know kama Roach anavyojua kuwa Floyd ni pro na anajua what is at stake akijaribu kuleta hizo, azingua tu.”

Wewe upo timu ipi? Tuambie.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents