Habari

Mwana Fa kusababisha na Jua Cali

Msanii wa longtime katika game ya Hip Hop anayezidi kudai sana tu, Binamu aka Mwana FA ametujuza kudondoka kwa jiwe alilopika na Juacali kutoka Kenya.

Akizungumza na mwandishi wa safu hii alisema katika wimbo huo amemshirikisha kwa mara ya kwanza msanii huyo mahiri,huku kiitikio cha wimbo huo kimeimbwa na Mwasiti Almasi.
Alisema hata hivyo tayari ana nyimbo zingine kali kama shuka na pazia, ambazo ameamua kujionyesha wazi kama bado na ataendelea kuwa mkaree.
‘Nataka kuwaonyesha kwamba nipo na nafanya kazi, na ngoma hiyo muisubiri kwani itakuwa kali kuliko!’ alisema Binamu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents