Burudani

Mwana FA ndani ya Urusi

Mwana FA kuwasha moto Urusi
Kwa wakazi wa miji ya Moscow, St. Petersburg, Nizhy Novgorad pamoja na Rostov,

THE HUSTLERS ENTERTAINMENT

Wanakuletea
bash bab-kubwa na la ukweli ndani ya jiji la Moscow tarehe 25/042009,
Mwana FA aka Binamu, kufanya show moja ya ukweli.


So wakazi wa Russia na miji yake kaaeni mkao wa kula kwa makamuzi ya kufa mtu, akiwa bado yupo juu zaidi katika ulimwengu wa bongo-flava, na hottest-singles zake kama bado niponipo , msiache kuongea, feat. Jide pamoja na nyinginezo nyingi.

Wabongo wote mnaombwa kujitokeza kwa wingi kuja kushow luv , ikiwa ni pamoja na kuwahi kujipatia ticket yako mapema
Kwani nafasi zipo very limited!!

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents