Habari

Mwanafunzi amfurahisha Rais Magufuli na kumpandisha kwenye gari lake kumpa milioni 5 – Video

Mwanafunzi amfurahisha Rais Magufuli na kumpandisha kwenye gari lake kumpa milioni 5 - Video

Mwanafunzi wa Shule ya msingi Iseni B aliyejitambulisha kwa jina la Salma Yasini amemfurahisha Mh Rais Magufuli kwa jinsi alivyojiamini na kutoa maelezo yaliyomfurahisha Rais kwa kueleza Changamoto zinazowakabili katika shule yao.


Baada ya kutoa maelezo hayo Rais Magufuli aliamua kumpandisha kwenye gari lake na kwenda kumpa fedha taslimu milioni tano akieleza kuchangia kwa ajili ya ujenzi wa Vyoo vya shule hiyo na baadhi ya vyumba vya madarasa vinne.

Rais Magufuli alivyomtania mbunge wa misungwi Charles Kitwanga kuhusu kukaa mbali na mke wake

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents