Burudani

Mwanamke aliyehukumiwa kunyongwa kwa kumtukana Mtume Muhammad aachiwa huru Pakistan, wananchi waandamana kutaka kichwa chake (+video)

Mwanamke ajulikanaye kwa jina la Aasia Bibi ambaye mwaka 2010 alihukumiwa kunyongwa hadi kufa na Mahakama nchini Pakistan, amejikuta akiachiwa huru baada ya kukata rufaa juu ya hukumu hiyo.

Aasia Bibi

Asia (53) ameachiwa huru, baada ya kundi la wanaharakati na wanasheria kupinga hukumu hiyo kwa zaidi ya miaka mitano.

The Supreme Court's decision to overturn Ms Bibi's blasphemy conviction sparked violent protests, seen here on Sunday, calling for the mother-of-five to be executed
Waandamanaji

Hatua hiyo ya mahakama imezua gumzo nchini humo, ambapo maelefu ya waislamu wenye itikadi wameandama wakitaka mwanamama huyo anyongwe.

The protests only subsided after Khan's government made a deal with hardline Islamist that they could appeal her release, and that Ms Bibi would have to stay in the country

Akizungumza na waandishi wa habari Mjini Karachi, Makamu wa Waziri Mkuu wa Pakistan, Matteo Salvini amesema kuwa atahakikishia haki za kibinadamu zinazingatiwa kwani kila binadamu ana uhuru wa kuamini anachokiamini na kuishi atakavyo.

Help: Deputy Prime Minister Matteo Salvini has sworn to do 'everything humanly possible' to overturn the ban on Asia Bibi leaving Pakistan, and to get her family safely to Italy
Matteo Salvini

Salvin amesema kuwa atahakikisha anamhamisha nchini humo, Bi. Asia kwenda nchi za nje ili kuokoa maisha yake, kwani tayari Italia imejitolea kumchukua mama huyo.

Nataka wanawake na watoto ambao maisha yao yapo hatarini watengeneze maisha yao ya baadae, iwe ndani ya Pakistani au nje ya Pakistani. Kwa hiyo nitafanya kila niwezalo kumuokoa (Asia Bibi). Ni jambo la kushangaza kwa 2018 mtu kupoteza maisha kwa ajili ya kutukana,“ameeleza Salvin.

Tayari Jeshi la polisi nchini Pakistani limewaonya vikali waislamu wanaoandamana nchini humo kutaka Asia anyongwe.

https://twitter.com/ammarawrites/status/1057969901405724674

Mwanasheria na familia ya Aasia Bibi wote wametishiwa kuuawa na waandamanaji hao, na tayari wamewekewa ulinzi na jeshi la polisi katika kipindi hiki ambacho serikali inawatafutia hifadhi kwa mataifa ya magharibi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents