Burudani

Mwanamke anayetaka nimpe mimba aweke hela mezani – Calisah

Mwanamitindo Calisah ambaye haishiwi vituko, ameibuka kwa kudai kuwa anakusudia kufungua duka la kuwapa mimba wanawake.

Calisah

Calisah amedai anakusudia kufanya hivyo ili awasaidie wanawake wanaotaka kuzaa watoto wenye muonekano mzuri kama yeye, na wale ambao waume zao hawawezi kuzalisha kutokana na umri kuwa mkubwa (vibabu).

“Suala la kuzaa mimi mwenyewe ni kitu ambacho nilikuwa na plan nacho kwa sababu nimeshatoka na wanawake wengi, sema sikuwa tayari kuzaa mi bado kijana mdogo, hawa wote nilikuwa nao tu kwa mambo mengine, lakini kama kuna mtu atataka tuzae, naweka tu bao langu napiga inatoka pair flan kali, najua mtoto wangu atakuwa na maisha mazuri”, Calisah aliiambia Enewz ya EATV.

Aliongeza, “Tunawajua wanawake wengi sana wazuri ambao wanaishi na wazee wana mapengo lakini ana hela, anajikuta anazaa naye kisa hela, tusijidharau wanaume, kwa hiyo mtu anakuja na mpunga wake nafanya chochote kwa pesa, mi kidume nanyoosha tu, aje tu na hela, kama wanawake wazuri wanatembea na watoto wazuri, kwa nini sisi wanaume tusifanye hivyo? Anakuja anatoa hela, tunapiga tunatoa pair yetu”.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents