Habari

Mwanamke wa miaka 41 agundua kuwa ni mjamzito masaa 15 kabla ya kujifungua

Mwanamke mmoja aitwaye Amanda Ross mwenye miaka 41 kutoka Uingereza amejifungua mtoto wake wa kwanza ikiwa ni masaa 15 tu toka ajulishwe kuwa ana ujauzito, ikimaanisha hakujua kama ni mjamzito kwa kipindi chote cha mimba.

Amanda-1

Siku hiyo Amanda alikuwa shopping na mpenzi wake ndipo alipohisi maumivu ya tumbo na kwenda kwa daktari ambaye baada ya vipimo ndiyo alimwambia kuwa ni mja mzito na angejifungua masaa 15 yajayo.

Amanda-2

“I had no idea I was expecting – there’d been no flutters, no cravings, no kicking, no morning sickness, no kicking, nothing. We were totally unprepared for a new baby – we hadn’t even got a cotton bud. ‘Thankfully our families have been really good, running around to get everything we need.” Alisema Amanda aliyejifungua mtoto wa kike.

Amanda-3

Hili ni tukio la kushangaza kwa mwanamke kubeba ujauzito kwa miezi 9 bila kuwahi kugundua mpaka siku ya kujifungua, Kwa wataalam na wanawake mlioishawahi kupata mtoto/watoto mnaweza kutusaidia uzoefu hii inakuwaje?

SOURCE: DAILY MAIL

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents