Habari

Mwanasheria aeleza A-Z Abdul Nondo kupandishwa Mahakama ya Iringa (+video)

Asubuhi ya leo kulikuwa na taarifa iliyoenea ikieleza Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP), Abdul Nondo kusafirishwa kimya kimya kwenda mkoani Iringa, Mwanasheria wa Mtandao huo, Paul Kisabo amesema Nondo leo amepandishwa kizimbani katika mahakama ya Wilaya ya Iringa mjini. Tazama video hii wakitoa ufafanuzi kilichoendelea Mahakama Kuu dhidi ya shauri walilofungua.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents