Habari

Mwandishi mkongwe wa Nigeria Chinua Achebe kuzikwa leo

Mwili wa mwandishi mkongwe wa Africa aliyeweka mchango mkubwa katika sekta ya elimu kupitia vitabu vyake kikiwemo ‘Things Fall Apart’, Chinua Achebe unazikwa leo (May 23) huko nyumbani kwake katika mji mdogo wa Ogidi ulioko katika jimbo la Anambra nchini Nigeria.

Chinua Achebe 2

Chinua Achebe ambaye ni Icon wa Nigeria na dunia kwa ujumla alifariki dunia (March) mwaka huu nchini Marekani akiwa na miaka 82.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents