Habari

Mwigulu, IGP Sirro mnataka watu wafanye nini ? – Mhe. Lema

Baada ya jeshi la polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam kupiga marufuku maandamano ya maombi ya kumuombea Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu.

Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia mtandao wa Twitter, amemhoji Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba na IGP Simon Sirro kuwa wao wanataka watu wafanye nini?

Kupitia mtandao huo Lema ameandika:

Lissu amepigwa risasi nyingi ! Hasira zetu tumeamua kumweleza Mungu, lakini mnatuzuia , Mwigulu/ IGP Sirro mnataka watu wafanye nini ?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents