Habari

Mwili wa kaka yake Mh. Freeman Mbowe ulivyowasili kanisani kwaajili ya Ibada (+video)

Mwili wa kaka yake Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mh. Freeman Mbowe,(Henry Mbowe) ukiwasili katika kanisa la KKKT Kunduchi jijini Dar es Salaam kwaajili ya kufanyiwa ibada ya mwisho na baada ya ibada hiyo mwili unasafirishwa kuelekea Mkoani Kilimanjaro kwaajili ya mazishi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents