Tragedy

Mwili wa Langa kuagwa mchana wa leo nyumbani kwao

Mwili wa rapper Langa Kileo aliyefariki dunia wiki iliyopita, unatarajiwa kuagwa leo nyumbani kwao Mikocheni, Dar es Salaam.

389987_10152951957360525_557808887_n

Kwa mujibu wa ratiba ya mazishi iliyotolewa, mwili wake ulidaiwa utawasili nyumbani asubuhi na heshima za mwisho kuanza kutolewa saa saba hadi saa nane. Baada ya hapo utapelekwa kwenda kuzikwa kwenye makaburi ya Kinondoni.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents