Habari

Mwili wa Mama Abdul waagwa, Waigizaji wakataa mfumo wa Steve Nyerere (+video)

Hatimaye mwili wa muigizaji wa filamu hapa Tanzania, Salome Nonge maarufu kwa jina la Mama Abdul umeagwa rasmi kwa kufanyiwa maombi katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Thomas, Mburahati, Dar Es Salaam .

Kabla ya ibada hiyo, Waigizaji wa filamu wakiongozwa na Mzee Jengua wamesema kuwa hawahitaji mfumo wa Kamati ya Mazishi na badala yake michango itakusanywa moja kwa moja.

Mfumo huo ulikuwa unatumika kwenye misiba yote ya watu maarufu na umekuwa ukitumiwa na Steve Nyerere.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents