Habari

Mwili wa Masogange wawasili Mbeya, Mamia ya watu wajitokeza kuupokea (+video)

Mwili wa video Queen, Agness Masogange tayari umewasili jijini Mbeya kwa ajili ya mazishi katika kijiji cha Utengule, ambapo mamia ya watu wamejitokeza kuupokea mwili huo.

Marehemu Agness Gerald Masogange, amefariki Ijumaa Aprili 21, 2018 ya wiki iliyopita na mwili wake umeagwa Jumapili Aprili 22, 2018 jijini Dar es salaam kabla ya kusafirishwa kwenda Mbeya kwa mazishi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents