Michezo

Mwingine Mwanza ashinda TVS King kutoka SportPesa

By  | 

Mkazi wa Mwanza, Makoye Cosmas (30) ameibuka mshindi wa TVS King kutoka SportPesa na kuufanya mkoa huo kuwa miongoni mwa mikoa ambayo inatoa washindi wengi.

Kampuni hiyo ya Michezo ya Kubashiri ilitinga mkoani huyo na kumkabidhi TVS KING DELUXE  mshindi huyo wa droo ya 22 ya SHINDA NA SPORTPESA iliyofanyika tarehe 16th Novemba.

Mshindi alikabidhiwa bajaji hiyo ikiwa mpya kabisa. Mshindi aliwasihi vijana wenzake waweke ubashiri na SportPesa ili nao waweze kubahatika kama yeye

Akipokea funguo za bajaji hiyo kwa furaha, ndugu Makoye Cosmas amesema kuwa ataitumia bajaji hiyo kwa shughuli za biashara ili kumuongezea kipato.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments