Burudani ya Michezo Live

Mwinyi: Nimevaa viatu mara mbili, kwanza Jandoni ya pili nilikuwa na miaka 13 nilichuma karafuu nikanunua (+Video)

“Mimi nimevaa viatu mara mbili, mara kwanza nilipoenda Jandoni, mara ya pili nina miaka 13 nilichuma Karafuu nikapa hela nikanunua viatu, nikahakikisha viatu hivyo havitakwisha, baada ya kuvivaa nikavitunza” – Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW