AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Mwinyi Zahera afunguka ‘Ardhi itatikisika Simba ikiitoa TP Mazembe nyumbani’ (+video)

Wakati klabu ya Simba muda mchache ikitarajia kuanza kukipiga dhidi ya TP Mazembe ya Congo kwenye mchezo wa marudiano hatua ya robo fainali ya klabu bingwa barani Afrika, kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amesema kuwa wapinzani wake hao kumtoa Mazembe ni ardhi itatikisika.

Zahera ameyasema hayo akiwa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere.

Kwenye mechi ya leo kila timu inayonafasi ya kusonga mbele hii ni kutokana na mchezo wao wa kwanza kutoka sare tasa ya bila kufungana katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW