Mshiriki kutoka Tanzania ndani ya jumba la Big Brother, Mwisho Mwampamba ametangaza nia ya kutaka kumuoa mshiriki kuotoka Namibia, Meryl. Akiulizwa na Big Brother Mwisho amekiri kwamaba angependa kufunga ndo Jumamosi hii ya Septemba 25 ndani ya jumba la Big Brother, nchini Afrika Kusini.
Meryl kwa sasa ni msichana pekee aliyebaki ndani ya jumba hilo, kitu ambacho kinaweza kumsababisha Mwisho kuwa na hali ya uwivu.
Haya wadau tuone kama hiyo harusi itakwepo kweli, isije kuwa mbinu zao za kujishindia dola laki 2 kutoka kwa Big Brother….
{hwdvs-player}id=1148|tpl=playeronly{/hwdvs-player}