Habari

Mwizi apitiwa na usingizi nyumbani kwa mwandishi baada ya kuiba (Picha)

Mwizi huyo ambaye aliingia nyumbani kwa Muandishi wa Habari Farouk Karim weekend hii na kuiba nguo, viatu na baada ya hapo akaingia kwenye gari ya Farouk akachukua power window, hakuweza kuondoka tena kwenye gari hiyo na akalala hapo hapo hadi asubuhi, wenyewe wakamgundua na kuja kuchukuliwa na Jeshi la Polisi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents