Bongo Movie

Myamba aja na jipya

pastor_myamba_video_face
Mwigizaji wa filamu nchini Emmanuel Myamba, anajiandaa na filamu yake mpya ambayo bado hajaipatia jina, mwingizaji huyo amesema kwenye filamu hiyo kutakuwa na wasanii wengi wakiwemo Underground ilikuinua vipaji vipya.

Pastor_myamba

Hapa akiwa na Director wa filamu hiyo akimtolea maelezo

pastor_myamba_mke_wa_kerv_director

Sugget

thea_mazoezi

Thea akisoma Script yake kabla ya kuanza kuingia kwenye shooting

thea_pastor_myamba

thea_pastor_myamba_swali

Hapa Kidogo Pastor Myamba alisahau mistari ikambidi aulize

pastor_myamba_video_face22

Kweli  Movie za kibongo zimeendelea Camera mbilimbili

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents