Tupo Nawe

Mzazi Willy: “Alikiba anapendwa sana Kenya, Ubunifu katika Kaka Tuchat ya Roma na Stamina sawa na Nitarejea ya Diamond” – Video

Mtangazaji wa Radio Citizen kutoka nchini Kenya ūüáįūüá™ na mkali wa kipindi¬† cha #MamboMseto¬†@mzaziwillytuva ameisifia sana ngoma ya @staminashorwebwenzi¬†na¬†@roma_zimbabwe¬†#Kakatuchat¬†akisifia sana ubunifu kwenye hiyo ngoma ukilonganisha na gharama waliyotumia.

Mbali na hilo @mzaziwillytuva amelimiminia sifa kundi la muziki kutoka Kenya @sautisol kwa kusema kuwa vijana wengi na wasanii wanatakiwa kujifunza kupitia kwao kutokana na aina ya muziki wanaofanya na hata jinsi wanavyoishi. Pia ameutaja wimbo wa @diamondplatnumz #Nitarejea kama wimbo bora kwake kutokana na ubunifu wake.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW