Burudani

Mzee Kikwete ampongeza Mwana FA kwa kuingia kwenye ujasiriamali, awataka wasanii wengine wabadilike

Rais Mstaafu wa awamu ya 4 Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amempongeza msanii wa Bongo Fleva, Mwana FA kwa kuingiza sokoni bidhaa yake mpya ya Body Spray ‘FYTbyFALSAFA’ .

Mzee Kikwete na Mwana FA

Mzee Kikwete kupitia ukurasa wake wa Twitter, ameeleza kuwa kipindi cha utawala wake, aliwashauri wasanii wa muziki hapa Tanzania kuwekeza nje ya muziki.

Body Spray hizo kwa mujibu wa Mwana FA mwenyewe, zitauzwa kwa Tsh elfu 4000 kwa bei ya reja reja na zitaanza kupatikana wiki ijayo.

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents