Mzee Kikwete asikitishwa na wanaotafsiri vibaya hotuba yake “Ni uzandiki, Fitna na uchonganishi”

Ofisi ya Rais mstaafu wa awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, imesikitishwa na baadhi ya watu wanaotafsiri tofauti hotuba yake, Aliyotoa kwenye kongamano la kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha mwalimu Julius Nyerere.

Taarifa hiyo iliyotolewa usiku wa kuamkia leo Oktoba 11, imeeleza masikitiko yake kuhusu upotoshaji huo wa hotuba aliyoitoa Oktoba 8, 2019, katika Kongamano lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kivukoni.

Soma zaidi taarifa hiyo kwa umma.

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW