Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Mzee Majuto adai filamu yake ijayo ni zaidi ya zilizopita

Msanii wa filamu za kuchekesha Bongo, King Majuto amesema kuwa filamu yake mpya ijayo ni zaidi ya filamu zake zilizopita.

Mzee-Majuto-akifurahia-ushindi

Akiongea na Times FM, “Hii ina ujumbe wa kuelimisha jamii kuachana na mambo Ambayo hayana manufaa kwa maisha ya sasa na nimewashirikisha wasanii mbalimbali maarufu.”

Aidha Majuto amefafanua kuwa sababu ya kuchelewa kuiachia filamu hiyo kama alivyopanga ni kutokana na kuupisha mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW