Habari

Mzee Majuto afungua kampuni yake, azungumzia miradi ya ujasiriamali aliyoianzisha Tanga

Mzee Majuto amejidhatiti zaidi kwa kufungua kampuni yake mwenyewe ya filamu.

barnaba

Muigizaji huyo mkongwe ameiambia Bongo5 kuwa huo ni mwanzo wa mipango yake mikubwa.

“Sasa hivi na mimi nina camera zangu, nina watu wangu karibu 75 nimewafundisha vijana ili kuwapa ajira na kweli wamejiajiri, tunatengeneza mikanda, tunauza wenyewe, tunakaa mezani tunagawana. Kwahiyo tuna nguvu,” amesema Majuto.

“Halafu mimi mwenye pia nimejiweka vizuri, nimenunua shamba, nikalitengeneza vizuri, nikaweza mabanda ya kuku (Tanga) na nataka nianze na kuku 7000 na mbuzi. Watoto pia wanasoma shule nzuri, namshukuru Mungu kusema ukweli.”

Msikilize zaidi hapo chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents