Habari

Mzee Mengi aanika siri ya mafanikio yake kwenye kitabu ‘nililala chini, wageni wangu walikuwa Panya na Mende’

Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya IPP,  Dkt. Reginald Mengi Leo Julai 02, 2018 amezindua kitabu chake chenye lengo la kutia motisha kwa vijana hususani wajasiriamali kutokata tamaa.

Akizungumza kwenye sherehe za uzinduzi wa kitabu hicho cha “I CAN, I MUST, I WILL” leo jijini Dar es salaam, Dkt. Mengi amesema kuwa kitabu hicho kimeleeza namna ya vijana kujiamini na kujituma ili kufikia malengo yao.

Akielezea maisha magumu aliyopitia, Dkt. Mengi amesema katika maisha yake alishawahi kulala chini lakini hakukata tamaa na ndio maana akapata msukumo wa kuandika kitabu hicho.

“Maisha yangu awali nililala chini, wageni wangu walikuwa Panya na Mende lakini baadae nilipokua nikasema ninaweza kuondokana na umasikini na niliweza,”amesema Dkt. Mengi .
Akizungumza kwenye sherehe za uzinduzi wa kitabu hicho cha “I CAN, I MUST, I WILL” leo jijini Dar es salaam, Dkt. Mengi amesema kuwa kitabu hicho kimeleeza namna ya vijana kujiamini na kujituma ili kufikia malengo yao.

Akielezea maisha magumu aliyopitia, Dkt. Mengi amesema katika maisha yake alishawahi kulala chini lakini hakukata tamaa na ndio maana akapata msukumo wa kuandika kitabu hicho.

Maisha yangu awali nililala chini, wageni wangu walikuwa Panya na Mende lakini baadae nilipokua nikasema ninaweza kuondokana na umasikini na niliweza,“amesema Dkt. Mengi .

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents