Burudani ya Michezo Live

Mzee wa Upako: BongoMovie imelaaniwa na Mungu, hata wakiwekeza tsh bilioni 3 haitarudi (Video)

Mchungaji wa kanisa la Maombezi GRC la jijini Dar es salaam, Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee wa Upako, amefunguka kwa kusema kwamba tasnia ya BongoMovie imekufa na haitaweza kuinuka kutokana na wasanii hao kumkufuru Mwenyezi Mungu.

Amesema hata wakiwekeza tsh bilioni 3 tasnia hiyo haiwezi kuinuka tena mpaka pale watakapopiga magoti na kumuomba Mungu msamaha.

Ametolea mfano marehemu Kanumba aliwahi kuigiza ni mchungaji ambaye anafanya biashara ya dawa za Kulevya kitu ambacho kimemkasirisha Mungu.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW