Habari

Mzee Yusuf apata pigo zito kwenye familia yake ‘Allah anijaalie nguvu za kusimama’

Muimbaji wa zamani wa muziki wa Taarabu, Mzee Yusuf usiku wa kuamkia leo amefiwa na mama yake mzazi.

Mzee Yusuf

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mzee Yusuf amethibitisha taarifa hizo kwa kuandika “Qalu inna lillah wa inna ilayh rajiunna. Mama yangu mzazi hatunae mda huu Allah anijaalie nguvu za kusimama na kufika znz asubuhi. Amiin usiku huu utakua mrefu sana leo lkn tuseme tena inna lillah wa inna ilayh rajiunna. Allah ampe qauli thabit mama yangu kipenzi. Amiin.“.

Hata hivyo, bado haijajulikana chanzo cha kifo chake kwani tumejitahidi kumtafuta Mzee Yusuf lakini hatukuweza kumpata.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents