Burudani

Mzee Yusuf kumshirikisha Diamond kwenye ngoma mpya

Tangu atoe wimbo wake ‘Nasema Nawe’, Diamond Platnumz anaonekana kukubalika sana kwenye jumuiya ya wanamuziki wa Taarab na Mduara nchini.

DSC_8998-800x536

Baada ya kumshirikisha Malkia wa Mipasho, Khadija Kopa, huenda Diamond akasikika tena kwenye wimbo wa Mzee Yusuf.

Akiongea kwenye kipindi cha Ng’ari Ng’ari cha Clouds TV, Mzee Yusuf alisema huenda akamshirikisha Diamond kwenye wimbo uitwao ‘Kikulacho’.

Katika hatua nyingine, Mzee Yusuf alisema nyimbo zake zitakazokuwepo kwenye album yake ijayo zitakuwa na si zaidi ya dakika 5.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents