Burudani

Mzee Yusuph akumbuka enzi zake

Jahazi_na_kinanda_cha_Yusuph

Mfalme wa taarabu, Mzee Yusuph ameamua kukumbuka enzi zake kwa kukikamatia  mwenyewe kinandaa baada ya kuona anatatizwa na mguu katika steji ya uimbaji, Mkali huyo wa taarabu, zaidi ya kuimba  pia anaweza kukimudu vizuriiii’ kile kinanda kana kwamba ndiyo kazi yake.

Lakini ukimrudisha kwenye kuimba ama kutunga ndipo ustadi wake ulipo lakini ndiyo hivyo vyote anaviweza kuvifanya kwa wakati mmoja, na hapa akiwa Mango Garden akiwapa buludani.

Jahazi_mzee_yusuph_hana_habari
Mzee Yusuph akiwa hana habari, yeye na kinanda ‘tu’

Jahazi_wakiimba
Mwimbaji wa Jahazi akijaribu kuziba mapendo ya mzee Yusuph

Jahazi_na_waimbaji_wake_wa_kike

Waimbaji wakiwa wamejipanga kwa ajili ya kutoa ushirikiano wa kuimba kwa pamoja katika bendi ya Jahazi Mordn Taarab

Jahazi_na_waimbaji_wake

Jahazi_na_mpiga_gitaa
Hapo sasa, gitaa ikilalamika kutokana na nyuzi zake kuvutwa

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents