Burudani

Mzee Yusuph kumshirikisha Vanessa Mdee na Dully Sykes

Mzee Yusuph anajaribu kuingia kwenye soko la muziki wa Bongo Flava kwa kishindo.

mzee yusuf

Akiongea na Bongo5, Mzee Yusuph alisema anatarajia kuwashirikisha Vanessa Mdee na Dully Sykes. Amedai kuwa sio mara yake ya kwanza kufanya kazi na wasanii wa Bongo Flava.

“Kama unakumbuka nimefanya nyimbo na Chidi Benz, nimefanya na Off Side Trick, nimefanya na wasanii wengi wa muziki huo,” alisema.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents