Burudani

Mzee Zorro kumpa shavu Mwana F.A

zoro

Yule mkali wa muziki wa kizamani ambaye hadi sasa anakimbiza katika muziki wa Bongo fleva maarufu kama muziki wa kizazi kipya, Zihir Zorro anatarajia kufanya Remix ya wimbo wake uliotamba wa Fanya vitu vyako, akiwa na mr Blue na Baby Boy


kutoka Zizzu Fashion. amesema kwa sasa anataraji kuja kivingine kabisa katika Remix ya wimbo huo kwa kumuweka pale kati msanii mwana Fa, kwakuwa ameridhishwa sana na kazi zake. Amesema baada ya hapo anarajia baada ya wiki mbili hivi, aweze kuingia Location kwaajili ya kuirudia na video ya wimbo huo, ambayo kwa muonekano huo mpya atakuwepo Fa

Banana_na_Mzee_Zorro

Hapa mzee Zorro akiteta na mwanaye Banana Zoro, katika moja ya matamasha waliyofanya

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents