Naangusha albam karibuni

Naangusha albam karibuni
Mwanadada mrembo mwenye mvuto wa ukweli anaetoka familia ya kimuziki, Maunda Zahir Zorro, ameibuka baada ya kuwa chimbo kwa muda kidogo na kutema cheche kuwa huu ni wakati wake wa kutoka na albam yake ya kwanza


"Nilikuwa kimya kwa muda mrefu, sijawahi kutoa tamko lolote juu ya albam yangu zaidi ya kutoa nyimbo tu, kwa kuwa sikutaka kutoa ahadi hewa"….lakini sasa nataka kuutangazia umma wa watanzania na wapenzi wangu popote walipo kuwa wakae tayari kila kitu kipo tayari na muda si mrefu wategemee kupata albam yenye ubora wa hali ya juu" alisema Mrembo huyo kwa kujiamini.

Maunda ambaye amewahi kutamba na vibao vyake ‘Niwe wako’, na ‘Mapenzi ni ya wawili’, amefanikiwa kuwika katika chati ya juu ya wasanii wa kike nchini.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents