Aisee DSTV!

Nabii Mswahili afunguka mazito kuhusu vikao vya BASATA (Video)

Madebe aka Nabii Mswahili afunguka haya baada ya kuhudhuria kikao wa wadau wa sanaa kilichoandiwa na BASATA pamoja na bodi yake.
Baadhi ya washiriki wa kikao kazi hicho wameshukuru baraza la sanaa la taifa kupitia bodi hiyo kwa kuitisha kikao hicho na kushauri kuwe na utaratibu wa kukutana na wasanii hao ili kuipeleka sanaa mbele zaidi.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW