Habari

Nabii Shillah aonywa – Ni yeye Shillah kwenye video ya ngono (Video)

Msemaji wa Manabii na Mitume, @dr.richard_godwin Richard Godwin amefunguka mambo mengi hukusu tabia za mitume na manabii wa sasa kutokana na kufanya matukio ambayo yanatia aibu.

Amesema hayo Jumamosi hii jijini Dar Es Salaam wakati wa kikao cha Mitume na Manabii kuandaa sheria ambazo zitawaongoza katika kazi zao.

Mgeni rasmi wa kikao hicho alikuwa Mzee wa Upako ambapo aliwataka manabii na mitume kuacha kufanya mambo ya ovyo ambayo yanawachafua viongozi wa dini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents