MichezoUncategorized

Nahitaji kuwa nafasi ya kwanza – Muguruza

Bingwa wa michuano ya Wimbledon, Garbine Muguruza ameahidi kufanya vizuri na kusalia katika nafasi za juu za WTA msimu wa mwaka huu 2018.

World No 3 Muguruza ambaye anashikilia nafasi ya tatu katika viwango vya ubora wa mcezo wa tennis duniani kwa upande wa wanawake amewasili Emirates kwaajili ya michuano ya Dubai Duty Free Championships baada ya kupoteza mashindano ya Doha wikiendi hii.

“Lengo langu ni kushika nafasi ya kwanza katika viwango vya ubora duniani,” amesema Muguruza.

“Siku zote hilo lipo akilini mwangu na nitajiskia furaha kama nitakuwa katika nafasi hiyo ya kwanza na tambua ni vigumu ila nitahakikisha natimiza adhima yangu.”

“Nilishakuwa nafasi ya kwanza mwaka uliyopita natambua umuhimu wa nafasi hiyo itakuwa muhimu kwangu.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents