Tupo Nawe

Nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta, afunga ndoa usiku kimya kimya – Picha

Nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta, afunga ndoa usiku kimya kimya - Picha

Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania, na klabu ya KR Genk ya nchini Ubelgiji, Mbwana Ally Samatta akiwa na baba yake mzazi, Mzee Ally Samatta kwenye hafla ya kufunga ndoa.


Samatta imeelezwa amefunga ndoa na mwanadada anayefahamika kwa jina la Neima Mgange leo usiku Alhamisi Oktoba 10, 2019 jijini Dar es Salaam.Kila la kheri Kapteni Diego @samagoal77 kwenye maisha yako ya ndoa.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW