Burudani

‘Nahongwa for benefit sina tatizo na hilo’ – Linah

Kama wewe ni mwanaume na unafikiria kuwa na uhusiano na Linah Sanga, basi tafuta fedha kwanza sababu she can’t stand broke a*s nig**s. Anahitaji ‘Boyfriends With Benefits’.

224492ba1def11e3bede22000aeb43a7_7

Kwa mujibu wa blog ya MamuAfrica, Linah haoni tatizo kwa msichana anayehongwa akiwemo yeye mwenyewe kwakuwa hilo ni jambo la kawaida ili mradi liwe na faida.

Aliiambia blog hiyo kuwa yeye mwenyewe binafsi katika kazi zake za ujasiriamali mtaji wake ameupata kwa kuhongwa na mpenzi wake na kuongeza na fedha anazopata kwenye mishe mishe zake.

“Kusema ukweli mimi mwenyewe boy friend wangu kanisaidia sana na bado anaendelea kunisaidia,mimi sijali mtu aseme lolote analotaka lakini kama nahongwa for benefit sina tatizo na hilo,” alisema mrembo huyo.

Source: Mamuafrica.blogspot.com

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents