Burudani

Nahreel afunguka meneja wake Sallam kumpendelea Diamond dhidi ya Navykenzo, Aeleza pia sababu za kumbatiza mtoto wake ajaye jina la Jamaica na sio Tanzania

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nahreel amefunguka kwa mara ya kwanza taarifa za Meneja wake Sallam kumpendelea zaidi Diamond Platnumz kikazi kuliko kundi lake la Navykenzo ambalo nalo linasimamiwa na Meneja huyo.

Kwa upande mwingine, Nahreel amefunguka jina la mtoto wake wa kiume ajaye ambaye amembatiza jina la Jamaica, Kaeleza pia kuhusu timu yake mpya ya Navykenzo FC.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents