Bongo Movie

Nakupenda Monalisa

Jb_Mtoto

Mwigizaji wa filamu nchini Jacob Steven ‘Jb’, akiwa katika maandalizi ya filamu mpya ya Nakupenda Monalisa, ambayo ipo chini ya kampuni ya Jerusalem.

 


 

Katika filamu hiyo J B amewashirikisha wasanii mbalimbali ikiwemo wakongwe na wasasa hivi, akiwemo Walda Walad mwanadada anayekuja kwa kasi katika tasinia ya filamu.

Jb_wasanii

 

Jb_Walda

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents