Burudani

Namfagilia sana Khalighraph akiri Gavana Alfred Mtua

Msanii Khalighraph Jones anazidi kupata sifa nchini Kenya, hii ni baada ya leo kukutana na Gavana wa jimbo la Machakos Alfred Mtua. ” Kwakweli acha ni msifie OG, napenda kazi zake na anabidii ya mchwa.” amefunguka Gavana Mtua.


Khalighraph Jones ametokea kupendwa na mashabiki wa kila rika na hii imemueka kwenye ramani ya juu katika muziki barani Africa.

Imeandikwa na muandiahi Changez Ndzai- Kenya

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents