Tupo Nawe

‘Nana’ yaendelea kumletea tuzo Diamond, ashinda tuzo nyingine mbili Uganda (orodha kamili ya washindi)

Diamond Platnumz ameendelea kujiongezea idadi ya tuzo alizoshinda baada ya wimbo wa ‘Nana’ kumpa ushindi wa tuzo nyingine mbili weekend iliyopita.

diamond p

Katika tuzo za Hipipo za Uganda zilizotolewa Jumamosi (Jan 30) kwenye hoteli ya Serena jijini Kampala, Diamond ameshinda tuzo ya EAST AFRICA SUPER HIT na EAST AFRICA BEST VIDEO zote kupitia wimbo wake wa NANA.

hipipo

Kupitia mitandao ya kijamii Platnumz aliandika:

“Wow! Realy wanna Thank GOD for keep blessing the innocent kid… also wana thank all Media and My Loyal fans for the Big love.. Two Awards tonight on @HipipoAwards UGANDA…EAST AFRICA SUPER HIT #NANA and EAST AFRICA BEST VIDEO #NANA many thanks to my brother @2niteflavour
@i_am_godfather and all Behind this Hit!!!… thanks alot @HIPIPOAwards for keep supporting the real African talent!

(Wadau kijana wenu nimefanikiwa kushinda tunzo mbili Usiku wa leo kama NYIMBO BORA AFRICA MASHARIKI #NANA na VIDEO BORA AFRICA MASHARIKI #NANA nawashkuru sana kwa kura na support zote mnazoendelea kunipa….. tafadhali nisaidieni kuhesabu ni tunzo ngapi tumechkua tangu Mwaka 2016 uanze? ) shukran sana @tommyleeafrica kwa kuiwakilisha vyema @Wcb_wasafi Uganda!”

Hii ni orodha kamili ya washindi

Best Audio Producer
Dr Fizol

Best Video Producer
Savy Films – Sasha Vybz

Best Songwriter
Moses Radio

Best Hip Hop Song
Kigozi (Iko Hivi) by Navio

Best RnB Song
Linda by Rema and Chris Evans

Best Ragga Dancehall Song
Friendly Match by Ziza Bafana & Zanie Brown

Best Reggae Song
Go Mama by Bebe Cool

Best Religious Song
Saum Kareem by Swahaba Kasumba

Best Band Song

Nkuze by Maureen Nantume

Best Folk/Kadongo Kamu Song
Akalulu by Saava Karim

Best Zouk Song
Memories by A Pass & Lillian Mbabazi

Best Afrobeat Song
Mpulunguse by Diana Nalubega

Best Afropop Song
Tusasanya by Prof. Big Eye

Best Regional Song
Go On – Pine Avenue 5 All Stars and Barbi Jay (North)

Best DJ
DJ Shiru

East Africa Best Video

Nana by Diamond Platnumz Ft Mr Flavour (Tanzania)

East Africa Super Hit
Nana by Diamond Platnumz (Tanzania)

Most Active Fans Group
Gagamel Phamily

Artist of the Year
David Lutalo

Best Male Artist
David Lutalo

Best Female Artist

Sheebah Karungi

Best Music Group

Radio and Weasel

Best Breakthrough Artist

Winnie Nwagi

Album of the Year
Go Mama by Bebe Cool

Video of the Year
Siri Zari by Sheebah

Song of the Year

Juicy by Radio and Weasel

Winner of Convertible Peugeot 207
Igama Benedict.

Life Time Achievement Award.

Paul Saka.

Video Trailblazer Award.

Triplets (Ghetto kids).

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW