Tia Kitu. Pata Vituuz!

Nando aendelea kupokea ‘love’ kutoka Afrika, wasichana washindwa kuzuia hisia zao

Ammy Nando aliondolewa kwenye shindano la Big Brother Africa kwa kuvunja baadhi ya sheria, lakini bado mashabiki wengi wa Afrika wameendelea kushow love ya kutosha kwake. Mashabiki wa nchini mbalimbali Afrika hususan wa kike wameendelea kuonesha upendo wa dhati kwa Mtanzania huyo.

546624_324919007586612_369082865_n

3

2

4

5

6

7

8

9

10

11

15

14

13

12

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW