Habari

Nando: Nahisi namzimia mshindi wa The Chase, Dillish

Ammy Nando is in love…. bila shaka mashabiki wake wa kike lazima wanune!! Yes Mtanzania huyo anahisi ameanza kuzama taratibu kwenye lindi la mapenzi na mtu pekee wa kumuokoa ni Dillish Mathews, mshindi wa kitita cha dola 300,000 za shindano la Big Brother Africa aka The Chase.

972141_162925710546797_321004935_n

Nando ambaye anawindwa kama ndege na wasichana warembo wa Afrika wenye uchu na penzi lake, ameamua kutoficha hisia zake na kuzianika kwa mashabiki wake zaidi ya 19,000 wa Twitter.

Kwa urembo wa Dillish, hatumshangai Nando lakini habari mbaya kwake ni kwamba ameshachelewa kwakuwa Mnamibia huyo anaye wake tayari.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents